Uterus Cleansing Pill
Viungo:
Fructus Cnidii, Rhizoma Smilacis Chinae, Rhizoma Chuanxiong, Herba Leonuri, Radix Stemonae, Radix Angelicae sinensis, Borneol
Kazi Na Faida Zake
- Kuua na kuzuia wadudu wanaoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke
- Kuzuia kansa ya shingo ya kizazi na kansa ya ovari
- Kuondoa matatizo ya maumivu wakati wa hedhi, tatizo la kukosa hedhi, hedhi nzito, maumivu kabla ya hedhi na hedhi isiyotabirika
- Kuondoa miwasho, maumivu na uvimbe wa sehemu za siri za mwanamke
- Kuondoa tatizo la maambukizi sugu (PID) na kuziba kwa mirija ya uzazi.
Maelezo Muhimu:
Green world Uterus Cleansing Pill inajumuisha mimea 13 ya asili ya China ambayo ni pamoja na Fructus Cnidii, Rhizoma Smilacis Chinae, Rhizoma Chuanxiong, Herbal Leonuri, Radix Stemonae, Radix Angelicae Sinensis, Borneol n.k.
Mimiea kwa pamoja huusaidia mwili kuboresha matatizo ya viungo vya uzazi vya mwanamke, ikiwa ni pamoja na uvimbe wa kwenye utando wa juu wa nyumba ya uzazi, mmomonyoko wa shingo ya kizazi, uvimbe wa maeneo ya nyonga, uvimbe na magonjwa ya sehemu zinazoungana na nyumba ya uzazi, n.k.
Kusafisha
Huua na kuzua wadudu wadogo waharibifu wanaosababisha magonjwa ya viungo vya uzazi vya mwanamke kama kuvimba kwa uke, kumomonyoka kwa shingo ya kizazi, maumivu wakati wa hedhi, maumivu ya tumbo mara baada ya kujifungua na uchafu uliobakia tumboni baada ya kujifungua (retained lochia).
Kuondoa Uvimbe Sugu
Uvimbe sugu husababisha mwongezeko mkubwa wa seli, kwa hiyo, huongeza uwezekano wa kutokea kwa kansa. Kwa kuondoa uvimbe sugu, uwezekano wa kutokea kwa kansa ya utando wa nyunba ya kizazi na shingo ya kizazi utapungua.
Kupunguza Uwezekano Wa kansa
Hupunguza yamkini ya kupata kansa ya ngozi laini inayofunika kizazi (endometrial cancer) na kansa ya shingo ya kizazi (cervical cancer) kwa kudhibiti uvumbe sugu; vile vile kansa ya ovari kwa kuuweka sawa uwiano wa homoni za mwanamke.
Kudhibiti Hedhi
Hupunguza tatizo la kuwa na maumivu ya wakati wa hedhi (dysmenorrhea), huondoa tatizo la kuwa na hedhi nzito (menorrhagia), tatizo la kukosa hedhi (amenorrhea), hedhi nyepesi au inayorukaruka (oligomenorrhea) na maumivu ya kabla ya hedhi (PMS).
Fructus Cnidii:
.Husaidia kudhibiti maambukizi wa wadudu na kuondoa dalili zinazoendana na maambukizi
.Inaweza kusaidia uzazi kwa wanaume na wanawake. Hii inatokana na uwezo wake wa kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Rhizoma Smilacis Chinae:
.Kwa miaka mingi imetumika kama tiba kwa ugonjwa wa kaswende kuanzia zama za kale
.Inaweza kuzuia magonjwa ya viungo vya uzazi vya mwanamke, hasa maambukizi ya sehenu nyeti za mwanamke
.Matatizo mengi ya viungo vya mwanamke yanahusishwa na hedhi ambayo inaweza kuathiri umbile la mwanamke.Kwa upande mwingine, umbile la mwanamke lisilo sawa linaweza kuathiri hedhi. Rhizoma Smilacis Chinae inaweza taratibu kufanya marekebisho.
Rhizoma Chuanxiong:
Husaidia kwa matatizo ya maumivu ya wakati wa hedhi, matatizo ya kukosa hedhi, kujifungua kwa shida, maumivu ya tumbo mara baada ya kujifungua na mabaki tumboni baada ya kujifungua.
Herba Leonuri:
Kwa ajili ya matumizi mbambali ya dalili zinazotokana na kutotembea vizuri kwa damu kama kukosa hedhi, na maumivu ya tumbo yanayotokea mara baada ya kujifungua.
Radix Stemonae:
Ni nzuri kwa kuua vimelea. Nzuri kwa trichomonas vaginitis, hutumika peke yake au ikiwa imechanganywa na mimea mingine kuua vimelea na kuondoa miwasho.
Radix Angelicae Sinensis-- “Female ginseng”:
.Mmea huu hujulikana kwa jina la "female ginseng", na hutumika sana kwa ajili ya tiba ya wanawake katika tiba asilia ya kichina.
.Hutajwa pia kwa jina la Chinese angelica, jina lenye maana ya mwanamme atarudi kwa mkewe, kwa sababu ni tiba ya afya ya viungo vya uzazi vya mwanamke
.Mmea huu una kemikali iitwayo butylidenephthalide inayofanya kazi ya kuzuia kukaza kwa misuli na hivyo huweza kuilegeza misuli ya nyumba ya uzazi na kuondoa maumivu ya wakati wa hedhi
.Inaweza kutumika kwa ajili ya kuondoa matatizo yanayoambatana na kukoma hedhi kama hot flashes.
<<<<< MWANZO